Instructions

  1. Jaza fomu hapo chini kwa taarifa sahihi (KUMBUKA: Sehemu ambazo huna taarifa nazo usizijaze, mfano hujasoma A-level hautajaza sehemu hiyo).
  2. Baada ya kumaliza kujaza fomu yako tuma maombi yako kwa kubonyeza kitufe cha Tuma Maombi.
  3. Usisahau kunakili Reference Number baada ya kutuma maombi yako, kwani namba hiyo itakusaidia kuangalia status ya maombi yako muda wowote.
  4. Lipia Ada ya Maombi ya NACTVET ya Tsh. 16,000/= kupita kitufe cha Pay (Chagua M-Pesa, Tigo-Pesa, Airtel Money au Visa Card kwaajili ya kulipia, Mfano: Ukichagua Tigo-Pesa utaingiza namba ya Tigo utakayotumia kulipia kisha utabonyeza Proceed, utapata pop-up meseji itakayokutaka uingize Namba ya Siri ili kulipia). 
  5. KUMBUKA: Maombi yako yatapokelewa kama utakuwa umelipia Ada ya Maombi
  6. Wasiliana na Ofisi ya Udahili kwa changamoto yoyote (Namba 0759311827).

Basic Details

*
*
*
*
*
*

Guardian Details

*
*