CHUO KIMEFUNGWA NA KITAFUNGULIWA TAREHE 06/04/2024

Wanafunzi na Wazazi wanaarifiwa chuo kimefungwa kwaajili ya likizo fupi ya muhula wa kwanza na kitafunguliwa tarehe 06/04/2024.