MATOKEO YA AWALI YA MITIHANI YA MWISHO WA MUHULA WA KWANZA 2023/2024 YAMETOKA.

Wanafunzi na Wazazi Mnaarifiwa kuwa matokeo ya awali ya Mitihani ya Mwisho wa Muhula wa Kwanza yametoka na yanapatikana kwenye Mfumo wa chuo.