UONGOZI WA CHUO CHA AFYA GOLD SEAL UNAWATAKIA WAZAZI NA WANAFUNZI MFUNGO MWEMA WA MWZI MTUKUFU WA RAMADHANI NA SIKUKUU NJEMA YA PASAKA

Uongozi wa Chuo cha Afya Gold Seal  unawatakia wanafunzi na wazazi wote mfungo mwema wa mwezi mtukufu wa Ramadhani na sikukuu njema ya Pasaka.