WANAFUNZI WANATAKIWA KUFIKA CHUONI TAREHE YA KUFUNGUA CHUO(06/04/2024) BILA KUKOSA.

Uongozi wa Chuo Umewataka wanafunzi wote kuripoti tarehe rasmi ya chuo kufunguliwa (06/04/2024) bila kukosa. Masomo yataanza tarehe 08/04/2024 Asubuhi, hivyo wanafunzi wote watatakiwa kuwepo darasani.